Saturday, 30 July 2016

UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI - (MKE/MUME)

UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI - (MKE/MUME)


Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika  umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.


DALILI ZAKE


  • Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana. 
  • Pia  mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
  • Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.
Mwanamke mwenye  chango  la uzazi  ana dalili zifuatazo:-

  • Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
  • Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
  • Siku  zake za  hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
  • Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
  • Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
  • Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia  siku zake za hedhi.
  • Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
  • Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
  • Kupata uvimbe kwenye kizazi 
  •  Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
Madhara yake  kwa  mwanamke
  • Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
  • Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
  • Kuingia na kutoka kwa mimba
  • Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii  kileleni
  • Kuwa na uke mdogo sana

Madhara  kwa Mwanaume

  • Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba
  • Kiwango kinachozalishw cha megu ni kidogo mno
  • Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
  • Kusimama na kusinyaa kwa uume

 Tiba ya Chango la Uzazi   
  •  Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia. 
  • Mara nyingi ugonjwa  huu hautibiwi  kwa dawa za hospitalini, bali  ugonjwa wa  chango la uzazi hutibiwa  na miti shamba.  
  •  Dawa  inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi. 
  • Matumizi yake kawaida mtu ataitumia kulingana na ukubwa wa tatizo lake. 
  • Huchanganywa  na viungo vya uzazi vya wanyama,  ambavyo kazi yake ni kuondoa  matatizo yaliyopo, kwenye kizazi cha manamke/mwanaume. 
  • Wengi  wana amini kuwa dawa za miti shamba hazina uwezo wa kutibu  haya ni mawazo potofu, miti shamba ndiyo suluhisho la kila tatizo katika afya zetu.Mimi mwenyewe  ni shuhuda nimelelewa katika miti shamba, ukipewa dawa ya mitishamba haijakusaidia ufahamu kuwa kiwango cha Dr/Mganga huyo hakijakomaa.

No comments:

Post a Comment