UCHAWI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI
Hivyo hili ni Tatizo linalosababishwa na Sayansi ya Asili kwa baadhi ya watu wachache. Sayansi hii hutumika zaidi kwa kutumia mchanganyiko wa miti ya shamba kwa mfano, Mwanamke anaweza kulogwa ili asizae kabisa au akapata Mimba na kutoka au akapata Mimba na kukaa nayo kwa muda mrefu sana halafu asizae. Vipimo vya Hospitali huonyesha sawasawa ana Mimba lakini hakuna kuzaa , Hata kwa Mwanaume pia anaweza kulogwa na maumbile yake yakasinyaa yakawa hayana uwezo wa kushiriki tendo la ndoatena. Hata pia Sayansi hii inaweza kutumiwa na baadhi ya watu ya kumfanya Mwanaume au Mwanamke asio au kuolewa
- Kwa upande wa Mwanamke anaweza kuwa anaolewa na kuachwa au kukosa huduma katika Ndoa yake au katika mapenzi inawezekana pia akachumbiwa na asiolewe.
- Inawezekana kabisa Ndoa ya Mwanamke ikawepo lakini kukawa hakuna kusikilizana , Amani inatoweka muda wote vilevile hata kwa Mwanaume hali kadhalika.
NINI HUSABABISHA MPAKA MTU
MUME AU MKE AKALOGWA?
au chuki baina ya mtu na mtu au watu,
chuki hii inayo tabaka nyingi:
- Kwa upande wa Mwanamke anaweza kuolewa na Mwanaume amabaye alivunja ndoa yake ya awali
- Mwanamke anaweza kuolewa na Mume mwenye mali nyingi wengine wakaona wivu na kwanini yeye?
- Mwanamke anaweza kuolewa na Mwanaume mwenye mahusiano na wanawake wengine (wake wengi/mitara)
- Mwanamke anaweza kuolewa na Mume mwenye elimu kubwa au mwenye fani ya mvuto kwa Umma kwa mfano mcheza mpira, mwanamuziki maarufu, biashara kubwa, cheo kikubwa serikalini kwenye makampuni n.k
Pia Mwanaume anaweza kulogwa kwa sababu zifuatazo:
- Anaweza kuoa Mwanamke aliyeachana na Mwanaume mwingine
- Kama ikatokea anagombaniwa na wanawake wengi
- Kama ikatokea Mwanaume anabadilisha wanawake na kutokuwa mwaminifu
- Kama ikatokea Mwanaume anashiriki mapenzi na mwanamke aliyelogwa pia yeye atakuwa na tatizo hilohilo
Dalili za Mwanamke au Mwanaume aliyelogwa:
- Mwanamke
- Kuota ndoto kufanya mapenzi na wanaume asiowajua na wengine anawajua mfano:
- Anaweza kuota anafanya mapenzi na baba yake wa kumzaa/mzazi
- Kuota kufanya mapenzi na kaka yake
- Anaweza kuota ndoto anafanya mapenzi na mwanaume jalalani au chooni
- Anaweza kuota anafanya mapenzi kwenye dimbwi la maji
- AAnaweza kuota ameolewa na kufanya mapenzi na Mwanaume mwenye kipato lakini mwanaume huyo anakuwa anabadirikabadirika mara binadamu mara nyingine nyoka
- Anaweza wakati mwingine kutaka kufanya mapenzi lakini akikosa mwanaume hujichuwa mwenyewe na kumaliza haja yake
- Anaweza kuota ndoto amepewa pesa nyingi lakini cha ajabu akiomba pesa kwa mume /ndugu au jamaa zake hawampi
- Wakati mwingine huota ananyonyesha mtoto kwenye chuchu zake wakati mwingine huota amezaa mtoto lakini mtoto huyo hubadirika badirika mara nyoka , kuku, au paka
- Mwanaume
- Kutaka kufanya mapenzi na mwanamke lakini uume husinyaa mara anapomkaribia au kumuingilia mwanamke
- Kutaka kufanya mapenzi au tendo la ndoa na mwanamke na mara mawazo ya mapenzi huyeyuka na kichwa kujaa mawazo nje ya mapenzi
No comments:
Post a Comment