Saturday, 30 July 2016

HISTORIA YA MJUKUU WA BABU

Mjukuu wa Babu akielekea kwenye Tambiko mwisho wa Mwaka
Kuhusu Mjukuu
HISTORIA YA MJUKUU WA BABU

Ukimzungumiza mjuu  wa Babu unamzungumzia  Ramadhani Sadiki Ruvunduka. Nimezaliwa mwaka 1977 katika kijiji cha Herubushingo Mkoani Kigoma. Kitu kikubwa kilichosababisha niwe mganga wa tiba Asilia ni Babu yangu Mzee Sagala Ruvunduka, alikuwa  ni mganga mkubwa hapo kijijini kwetu. Nikizungumzia kuwa ni mganga mkubwa ni na maana  kwamba alikuwa mtu maarufu sana hapa kijijini kwetu, alikuwa akipokea wageni kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wakifuata tiba hapo nyumbani kwetu.
Mjukuu wa Babu akichukua Dawa kwenye mzimu 


Alinishawishi nijifunze uganga kwani Babu yangu alitupa kipaumbele mimi na Baba yangu tulirithi mikoba yake, lakini Baba alimwambia Babu kwamba mimi ndio nirisishwe mikoba yake. Baada ya hapo nilifanyiwa tambiko nikiwa na umri wa miaka tisa (9) ndipo mizimu ilipotoa amri kwamba natakiwa nianze kazi ya kutibu binadamu ifikapo umri wa miaka kumi na tano(15).
Mjukuu wa Babu akitoa Salaam 


Hivyo  basi familia yangu  waliridhia kufata masharti ya mizimu nilipo timiza miaka kumi na tano (15) nikaanza tiba  kwa kuelekezwa na Babu yangu dawa za magonjwa mbalimbali. Nilifurahia sana japokuwa ilinilazimu kwenda shule na kurudi kumsaidia Babu kufanya tiba.
Mjukuu wa Babu akiandaa Dawa kwa ajili ya tatizo la uzazi kwa wanaume


Nilipohitimu darasa la saba , Babu yangu aliaga kwamba anakwenda mtoni kuchota maji akiwa na kibuyu cha mizimu akurudi tena nyumbani nilisikitika sana kwani maiti ya babu yangu haikuonekana,popote pale kwani tulifanya kila juhudi ili tuweze kupata mwili wake lakini hatukufanikiwa tukamshukuru mungu lakini nililala usiku nikaoteshwa na mizimu kwamba babu yako tumemchukua sisi ili awe na uwezo wa kukuotesha namna ya kufanya tiba yetu atujamchukua kwa ubaya isipokuwa ukoo wetu mtu yoyote Yule ana yepewa kazi yetu atakiwi kufa kifo cha kuzikwa na watu.
Mjukuu wa Babu akiwa katika mto ambao Babu yake alipopotelea

Toka hapo nikiwa mika ishirini (20) wagonjwa waliendelea kumiminika kufika hapo nyumbani kupatiwa tiba iliniwia kazi ngumu sana  kuwamiliki wagonjwa nikaanza safari za maporini kutafuta dawa usiku na mchana na dawa nyinine nilikuwa naoteshwa.

Namshukuru sana Babu yangu kwani alikuwa hachagui magonjwa ya kutibu mtu kwani nilipofikisha miaka ishirini  na tano (25) nilipata uwezo wa kutibu magonjwa yote kwani kila nikikwama  Babu hunitokea kwenye njozi kunielekeza tiba. 
Namshukuru mwenyezi Mungu kwa sasa hakuna magonjwa yanayonisumbua. Kwa wewe unayeteseka na magonjwa mbalimbali na misukosuko  ya maisha unaweza kuja kwangu kueleza shida zako unamatatizo yanayokukuta au uliyonayo! Kwani kipaji nilichorisiishwa  na Babu ni kwa faida ya binadamu wote. 
Nimetibu na kusaidia watu wengi sana ambao hata idadi yao siwezi kujua. Mafanikio niliyopata ni kutambulika na kuaminika ulimwenguni pote.
Mjukuu wa Babu akiwa anajitayarisha kwa ajili ya Maombi


Babu yangu kila baada ya mwaka uniotesha matukio ya kidunia ambayo kila binadamu atayaona kwa macho yake ambayo ni ya ajabu kwa kila binadamu nimepewa uwezo wa kutoa ufafanuzi kinachotendeka duniani ambacho ukijui wewe.

Kwa  ushauri na tiba wasiliana na Mjukuu wa Babu kwa simu namba:

+255-716-155-719 

 +255 652 872 750
Email      ramadhanimjukuu@gmail.com
Youtube Mjukuu wa babu
Instagram mkomboziclinik
Blog mjukuwababu.blogspot.com


        MJUKUU WA BABU NDIO MWOKOZI WA MAISHA YAKO WEWE.

No comments:

Post a Comment