Saturday, 30 July 2016

UPIGAJI WA PUNYETO


      Unapozungumzia punyeto tunazungumzia kurhiriki tendo pasipo rasmi kwa kutumia visivyo rasmi mfano kutumia  mikono na sabuni, mafuta au kavukavu au kwa kutumia vitu  laini , mto, mdomo n.k.
-     Mtu anapopiga Punyeto anatengeneza maumivu kwenye misuli ya uume ambapo maumivu hayo yatakuwa katika sehemu tatu (3)

  • Itakuwa kwenye umbo la uume kwa nje
  • Itakuwa kwenye misuli ya uume kwa ndani
  • Itakuwa imemwadhiri kisaikolojia (mtumiaji


Maumivu ya uume kwa nje
  • Anatengeneza sugu kwa umbo la uume na sugu hizo zitasababisha kuharibu  mzunguko wa damu anapotaka kushiriki tendo la ndoa, mara nyingi sugu hizo zinatawala kwenye kibovu cha mkojo
  • Kwenye  misuli ya uume kwa ndani  husababisha  kuzorota kwa misuli wakti wa kusimama kwa uume. Uume hukonda sana na kuwa mwembamba kama kalamu lakini pia hua legelege sana na kurudi ndani /kunywea
  • Saikolojia - Mtu anapoahdirika kisaikolojia mtu huyo hukata tamaa ya kushiriki tendo la ndoa/hutokwa  na mbegu za kiume pasipo kushiriki tendo la ndoa.
  • Hupata mfadhaiko
  • Hulemaa  viungo vya mwili/mkono
  • Hupata mawazo mabaya
  • Hupata  ndoto za kushiriki tendo la ndoa
  • Kuchanganyikiwa  kiakili
  • Kuchukia wanawake
  • Kutokuwa mwili wenye nguvu za kazi
Kwa upande wa mwanamke - Kupiga Punyeto 
  • Kutengeneza kutokuwa na kiwango cha kushiriki tendo la ndoa
  • Kuwa na mwili usiokuwa na joto
  • Kuwa na uke wenye sura mbaya
  • Kuwa na Fungas na magonjwa mengine ya ngozi
  • Husababisha kuchukia wanaume na kutotaka kujua faida ya mwanaume
  • Hugeuka kuwa  msagaji
  • Aghalabu kuolewa
  • Kuharibika kwa umbo la mwili/kuwa kama mwaaume
  • Kuchukia kukaa na wenzake
  • Kutotaka  kushirikiana na wenzake
  • Kuwa na jasba/jeuri/hasira
  • Maumivu ya kichwa cha mara kwa mara
  • Kukata tama ya kuolewa
  • Kujihisi mlemavu
  • Kuwa  na stress /mawazo
Madhara  kwa mwanaume
  • Akioa mwanamke ni vigumu kuishi naye
  • Kuwa mbakaji
  • Kuwa mlevi  wa kutupa/pombe /bangi au madawa ya kulevya
  • Kukata tama ya maisha
  • Na vigumu kusikiliza ushauri wa mtu yeyote/hashauriki
Madhara kwa mwanamke
  • Mwanamke akiolewa ni vigumu kudumu kwenye ndoa
  • Kupata michubuko kwenye uke ndani mara kwa mara
  • Kutoa harufu mbaya kwenye uke
  • Kutokwa  na maji maji sehemu ya uke yenye harufu mbaya
  • Kutokupata mimba
  • Kutokuwa na ratiba ya siku zake za hedhi
  • Kuwa Malaya/kutokuwa na staha kwa mwanaume mmoja
  • Kuwa  na hasira na jerui
  • Kuwa mbakaji  kwa rika lisilo lake
  • Kuwa mlevi, mvutaji, madawa ya kulevya , kutotaka ushauri/hashauriki
Tiba ni kupata dawa  ya  kubadili mfumo wa kushiriki tendo  la ndoa kutoka kuwa mtu  mmoja na kuwa watu wawili
  • Dawa itatumika kama chaikavu kutafuta au kula kwenye supu hasa ya samaki
  • Ushauri kwa mpigaji punyeto kwa sasa au aliyepiga zamani ni vema ukatumia  dawa  madhara yake hujitokeza wakati wowote ule ukiwa kijana au mzee.

UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI - (MKE/MUME)

UGONJWA WA CHANGO LA UZAZI - (MKE/MUME)


Tunapozungumzia mgonjwa wa chango tuna maana kuwa ni matatizo yaliyopo katika viungo vya uzazi kwa mke au mume. Huu ni ugonjwa ambao humpata mtu katika  umri mdogo utotoni. Kwa mfano :- mume, hupata maumivu ya tumbo mara kueneza anapokuwa mdogo. Kwa upande wa mwanamke hupata maumivu ya tumbo anapoanza kuvunja ungo. Maumivu hayo hupelekea mtu (mume/mwanamke) kupata madhara katika viungo vyake vya uzazi.


DALILI ZAKE


  • Kwa mwanaume atakuwa akishiriki tendo la ndoa, anawahi sana kufika kileleni na kurudia mara nyingine ni vigumu sana. 
  • Pia  mwanaume hatakuwa na uwezo wa kusimamisha.
  • Ni vigumu kumpa mimba mwanamke.
Mwanamke mwenye  chango  la uzazi  ana dalili zifuatazo:-

  • Kupata maumivu makali wakati anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi
  • Kuhisi maumivu makali wakati wa kushiriki tendo la ndoa
  • Siku  zake za  hedhi hazitakuwa na ratiba, zitakuwa zinabadilika badilika
  • Hujisikia homa kali anapokaribia siku zake za dhedhi
  • Kupatwa hasirakali/ jazba anapokaribia kuingia katika siku zake za hedhi.
  • Kujisikia uchovu mkubwa anapokaribia  siku zake za hedhi.
  • Kupata mchubuko kwenye mapaja na sehemu za uke.
  • Kuchukia kushiriki tendo la ndoa
  • Kupata uvimbe kwenye kizazi 
  •  Mimba kutunga nje ya mfuko wa uzazi
Madhara yake  kwa  mwanamke
  • Kwa mwanamke ni vigumu kupata mimba
  • Mwanaamke anaweza kuwa tasa kabisa
  • Kuingia na kutoka kwa mimba
  • Kuwa na hamu ya tendo la ndoa lakini hafikii  kileleni
  • Kuwa na uke mdogo sana

Madhara  kwa Mwanaume

  • Kuwa na mbegu ambazo haziwezi kutunga mimba
  • Kiwango kinachozalishw cha megu ni kidogo mno
  • Kuwa na kiwewe cha kushiriki tendo la ndoa
  • Kusimama na kusinyaa kwa uume

 Tiba ya Chango la Uzazi   
  •  Ni vizuri sana kumweleza Dr. Dalili zote mtu anapojisikia. 
  • Mara nyingi ugonjwa  huu hautibiwi  kwa dawa za hospitalini, bali  ugonjwa wa  chango la uzazi hutibiwa  na miti shamba.  
  •  Dawa  inayotibu ugonjwa huu ni dawa inayotibu kizazi. 
  • Matumizi yake kawaida mtu ataitumia kulingana na ukubwa wa tatizo lake. 
  • Huchanganywa  na viungo vya uzazi vya wanyama,  ambavyo kazi yake ni kuondoa  matatizo yaliyopo, kwenye kizazi cha manamke/mwanaume. 
  • Wengi  wana amini kuwa dawa za miti shamba hazina uwezo wa kutibu  haya ni mawazo potofu, miti shamba ndiyo suluhisho la kila tatizo katika afya zetu.Mimi mwenyewe  ni shuhuda nimelelewa katika miti shamba, ukipewa dawa ya mitishamba haijakusaidia ufahamu kuwa kiwango cha Dr/Mganga huyo hakijakomaa.

UCHAWI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI




UCHAWI KATIKA VIUNGO VYA UZAZI



Tunapozumzia Uchawi hakuna shaka ni lugha inayoeleweka katika Jamii yoyote.
Hivyo hili ni Tatizo linalosababishwa na Sayansi ya Asili kwa baadhi ya watu  wachache. Sayansi hii hutumika zaidi kwa kutumia mchanganyiko wa miti ya shamba kwa mfano, Mwanamke anaweza kulogwa ili asizae kabisa au akapata Mimba na kutoka au akapata Mimba na kukaa nayo kwa muda mrefu  sana halafu asizae. Vipimo vya Hospitali huonyesha sawasawa ana Mimba lakini hakuna kuzaa , Hata kwa Mwanaume pia anaweza kulogwa na maumbile yake yakasinyaa yakawa hayana uwezo wa kushiriki tendo la ndoatena. Hata pia Sayansi hii inaweza kutumiwa na baadhi ya watu ya kumfanya Mwanaume au Mwanamke asio au kuolewa



  • Kwa upande wa Mwanamke anaweza kuwa anaolewa na kuachwa au kukosa huduma katika Ndoa yake au katika mapenzi inawezekana pia akachumbiwa na asiolewe.
  • Inawezekana kabisa Ndoa ya Mwanamke ikawepo lakini kukawa hakuna kusikilizana , Amani inatoweka muda wote vilevile hata kwa Mwanaume hali kadhalika.

NINI HUSABABISHA MPAKA MTU 

MUME AU MKE AKALOGWA?
 


Mara nying sana hali hii hutokana na wivu 

au chuki baina ya mtu na mtu au watu, 

chuki hii inayo tabaka nyingi:




  • Kwa upande wa Mwanamke anaweza kuolewa na Mwanaume amabaye alivunja ndoa yake ya awali
  • Mwanamke anaweza kuolewa na Mume mwenye mali nyingi wengine wakaona wivu na kwanini yeye?
  • Mwanamke anaweza kuolewa na Mwanaume mwenye mahusiano na wanawake wengine (wake wengi/mitara)
  • Mwanamke anaweza kuolewa na Mume mwenye elimu kubwa au mwenye fani ya mvuto kwa Umma kwa mfano mcheza mpira, mwanamuziki maarufu, biashara kubwa, cheo kikubwa serikalini kwenye makampuni n.k

Pia Mwanaume anaweza kulogwa kwa sababu zifuatazo:






  • Anaweza kuoa Mwanamke aliyeachana na Mwanaume mwingine
  • Kama ikatokea anagombaniwa na wanawake wengi
  •  
  • Kama ikatokea Mwanaume anabadilisha wanawake na kutokuwa mwaminifu

  • Kama ikatokea Mwanaume anashiriki mapenzi na mwanamke aliyelogwa pia yeye atakuwa na tatizo hilohilo


Dalili za Mwanamke au Mwanaume aliyelogwa:


  • Mwanamke


  1. Kuota ndoto kufanya mapenzi na wanaume asiowajua na wengine anawajua mfano:
  2. Anaweza kuota anafanya mapenzi na baba yake wa kumzaa/mzazi
  3. Kuota kufanya mapenzi na kaka yake
  4. Anaweza kuota ndoto anafanya mapenzi na mwanaume jalalani au chooni
  5. Anaweza kuota anafanya mapenzi kwenye dimbwi la maji
  6.  AAnaweza kuota ameolewa na kufanya mapenzi na Mwanaume mwenye kipato lakini mwanaume huyo anakuwa anabadirikabadirika mara binadamu mara nyingine nyoka
  7. Anaweza wakati mwingine kutaka kufanya mapenzi lakini akikosa mwanaume hujichuwa mwenyewe na kumaliza haja yake
  8. Anaweza kuota ndoto amepewa pesa nyingi lakini cha ajabu akiomba pesa kwa mume /ndugu au jamaa zake hawampi
  9. Wakati mwingine huota ananyonyesha mtoto kwenye chuchu zake wakati mwingine huota amezaa mtoto lakini mtoto huyo hubadirika badirika mara nyoka , kuku, au paka
  • Mwanaume


  1. Kutaka kufanya mapenzi na mwanamke lakini uume husinyaa mara anapomkaribia au kumuingilia mwanamke
  2. Kutaka kufanya mapenzi au tendo la ndoa na mwanamke na mara mawazo ya mapenzi huyeyuka na kichwa kujaa mawazo nje ya mapenzi

TATIZO LA WANAUME KUWA NA MAUMBILE MADOGO



Q: - Ukizungumzia maumbile madogo kwa mwanaume una maana gani?
A: - Tunamaana mwanaume mwenye uume mfupi ambao upo tofauti na wanaume wengine.

Q: - Kwani mwanaume anatakiwa awe na maumbile saizi gani ambayo yanamtosheleza mwanamke?
A: - Ni inchi 8 mpaka 7. Mwanaume mwenye maumbile ambayo yapo chini ya saizi hii atakuwa na matatizo kwenye kushiriki tendo la ndoa na mara chache sana atamfikisha mwanamke kileleni. Anaweza kuwa anashiriki tendo la ndoa hata na mwanamke wake au mpenzi wake akawa anaonyesha kuridhika na lile tendo afanyiwalo na mwenziwe laknini kumbe ikawa si kweli kwamba anaridhishwa na mpenzi wake, kwamba anamfikisha kileleni na hata kuonyesha kama analazimishwa kufanya tendo la ndoa ili kulinda mahusiano yake. Mpenzi wa namna hii huwa inafika wakati atatafuta mwanaume mwingine wa kumridhisha.

Unaweza kukuta mwanamke yuko kwenye mahusiano muda mrefu lakini hajawahi kufika kileleni hata siku moja. Anasikia mazungumzo mtaani na kwenye vyombo mbalimbali vya habari anawaza lini atafikishwa kileleni anakosa jibu. Kwa sababu, anachukulia uume wa mwenziwe ukiwa umesimama akilinganisha na uke wake anakuta tofauti anaweza akakata tamaa muda wowote na kumtafuta mwingine wa kumridhisha na anaweza ukamkuta tayari anaye ila analinda siri ya ndani.

Sababu kuu za kuwa na maumbile madogo: 


  1. Tumbo kujaa gesi kwa muda mrefu. 
  2. Kupiga punyeto.
  3. Unene kupita kiasi.
  4. Kutahiriwa ukiwa na umri mdogo.
  5. Ugonjwa wa ngiri ya kupanda na kushuka.
  6. Kuzaliwa ukiwa na maumbile madogo.
  7. U-hanithi au kutokuwa na uwezo wa kusimamisha.
  8. Magonjwa makubwa, mfano: Shinikizo la damu na kisukari.
Maumbile madogo yanayozungumziwa yanamatabaka tofauti. Mfano: 
  1. Unaweza kuwa na uume mnene lakini mfupi wa inchi 2 au unaweza kuwa na mfupi lakini mwembamba.
  2. Unaweza kuwa na uume mwembamba wa inchi 3 au kadogo kabisa kamedumbukia ndani.
Yote haya yapo katika jedwali la maumbile madogo.

Dawa tunazotumia kuongeza ukubwa wa uume ni pamoja na:
  1. Nafaka - Mbegu za miti pori ambazo zinafaa kutengenezea dawa.
  2. Nyama - Hii ni dawa ambayo ni viungo vya uzazi vya wanyama, ikiwemo korodani pamoja na uume wa wanyama tofauti tofauti.
Kwa mawasiliano ya kupata huduma ongea na Mjukuu wa Babu kwa namba za simu zifuatazo:
                          0716 155 719
                          0621 718 697

HISTORIA YA MJUKUU WA BABU

Mjukuu wa Babu akielekea kwenye Tambiko mwisho wa Mwaka
Kuhusu Mjukuu
HISTORIA YA MJUKUU WA BABU

Ukimzungumiza mjuu  wa Babu unamzungumzia  Ramadhani Sadiki Ruvunduka. Nimezaliwa mwaka 1977 katika kijiji cha Herubushingo Mkoani Kigoma. Kitu kikubwa kilichosababisha niwe mganga wa tiba Asilia ni Babu yangu Mzee Sagala Ruvunduka, alikuwa  ni mganga mkubwa hapo kijijini kwetu. Nikizungumzia kuwa ni mganga mkubwa ni na maana  kwamba alikuwa mtu maarufu sana hapa kijijini kwetu, alikuwa akipokea wageni kutoka nchi mbalimbali waliokuwa wakifuata tiba hapo nyumbani kwetu.
Mjukuu wa Babu akichukua Dawa kwenye mzimu 


Alinishawishi nijifunze uganga kwani Babu yangu alitupa kipaumbele mimi na Baba yangu tulirithi mikoba yake, lakini Baba alimwambia Babu kwamba mimi ndio nirisishwe mikoba yake. Baada ya hapo nilifanyiwa tambiko nikiwa na umri wa miaka tisa (9) ndipo mizimu ilipotoa amri kwamba natakiwa nianze kazi ya kutibu binadamu ifikapo umri wa miaka kumi na tano(15).
Mjukuu wa Babu akitoa Salaam 


Hivyo  basi familia yangu  waliridhia kufata masharti ya mizimu nilipo timiza miaka kumi na tano (15) nikaanza tiba  kwa kuelekezwa na Babu yangu dawa za magonjwa mbalimbali. Nilifurahia sana japokuwa ilinilazimu kwenda shule na kurudi kumsaidia Babu kufanya tiba.
Mjukuu wa Babu akiandaa Dawa kwa ajili ya tatizo la uzazi kwa wanaume


Nilipohitimu darasa la saba , Babu yangu aliaga kwamba anakwenda mtoni kuchota maji akiwa na kibuyu cha mizimu akurudi tena nyumbani nilisikitika sana kwani maiti ya babu yangu haikuonekana,popote pale kwani tulifanya kila juhudi ili tuweze kupata mwili wake lakini hatukufanikiwa tukamshukuru mungu lakini nililala usiku nikaoteshwa na mizimu kwamba babu yako tumemchukua sisi ili awe na uwezo wa kukuotesha namna ya kufanya tiba yetu atujamchukua kwa ubaya isipokuwa ukoo wetu mtu yoyote Yule ana yepewa kazi yetu atakiwi kufa kifo cha kuzikwa na watu.
Mjukuu wa Babu akiwa katika mto ambao Babu yake alipopotelea

Toka hapo nikiwa mika ishirini (20) wagonjwa waliendelea kumiminika kufika hapo nyumbani kupatiwa tiba iliniwia kazi ngumu sana  kuwamiliki wagonjwa nikaanza safari za maporini kutafuta dawa usiku na mchana na dawa nyinine nilikuwa naoteshwa.

Namshukuru sana Babu yangu kwani alikuwa hachagui magonjwa ya kutibu mtu kwani nilipofikisha miaka ishirini  na tano (25) nilipata uwezo wa kutibu magonjwa yote kwani kila nikikwama  Babu hunitokea kwenye njozi kunielekeza tiba. 
Namshukuru mwenyezi Mungu kwa sasa hakuna magonjwa yanayonisumbua. Kwa wewe unayeteseka na magonjwa mbalimbali na misukosuko  ya maisha unaweza kuja kwangu kueleza shida zako unamatatizo yanayokukuta au uliyonayo! Kwani kipaji nilichorisiishwa  na Babu ni kwa faida ya binadamu wote. 
Nimetibu na kusaidia watu wengi sana ambao hata idadi yao siwezi kujua. Mafanikio niliyopata ni kutambulika na kuaminika ulimwenguni pote.
Mjukuu wa Babu akiwa anajitayarisha kwa ajili ya Maombi


Babu yangu kila baada ya mwaka uniotesha matukio ya kidunia ambayo kila binadamu atayaona kwa macho yake ambayo ni ya ajabu kwa kila binadamu nimepewa uwezo wa kutoa ufafanuzi kinachotendeka duniani ambacho ukijui wewe.

Kwa  ushauri na tiba wasiliana na Mjukuu wa Babu kwa simu namba:

+255-716-155-719 

 +255 652 872 750
Email      ramadhanimjukuu@gmail.com
Youtube Mjukuu wa babu
Instagram mkomboziclinik
Blog mjukuwababu.blogspot.com


        MJUKUU WA BABU NDIO MWOKOZI WA MAISHA YAKO WEWE.