Monday, 27 February 2017

VIFO VYA KUSHITUKIZA:-


Ukizungumzia vifo vya kushitukiza unazungumzia tatizo la presha ya kupanda na kushuka .Presha ya kupanda na kushuka ni tatizo linalokuwa katika mishipa ya fahamu ya binadamu yaani maana yake tunazungumzia kuvuta hewaa na kupumua.
Tatizo hili hutokana na wingi wa mafuta mwilini ambayo huathiri baadhi ya mishipa mbalimbali kama vile;matundu ya moyo,mapafu,tundu za figo,utumbo mkubwa na utumbo mdogo,katikati ya kichwa na moyo,kibofu cha mkojo,miguu,mikono,viungo vyote hivi vya mwili mishipa yake huziba kwenye matundu
Katika tiba za asili hili tatizo tunaliita “UZUNGU UMEZIDI KIWANGO” tatizo hili linapotokea kuwa kubwa  mtu huathirika kwenye  viungo vyake vyote vya mwili hali inayopelekea  kuziba kwa mishipa ya fahamu,tatizo hili linakuwa na matabaka makuu mawili:-

ULAJI WA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI:
Ulaji huu wa vyakula vyenye mafuta mengi hujumuisha vyakula kama vile;nyama ya nguruwe,mayai  ya kuku wa  kizungu,chips mayai kuku,pizza,chapati na vyakula  vyenye mlundikano wa mafuta,vyakula hivi mtu  anapovitumia hupelekea mtu kupata tatizo la presha inayoweza kupelekea vifo vya kushitukiza kwa watumiaji.

DALILI ZAKE NI ZIPI?:-
Dalili zake ni pamoja na ;kuugua magonja mbalimbali kama vilie:-tumbo kujaa gesi,kuwa na uzito kupita kiasi,kuhisi joto sehemu ya baridi kali,kizunguzungu kisichoisha,kuwa na hasira za mara kwa mara,homa za mara kwa mara,kukosa hamu ya kula,kupata ganzi kwenye viungo vya mwili,miguu kuwaka moto,kukosa hamu ya tendo la ndoa,vichomi mwilini,kukosa usingizi,kutokwa na haja ndogo bila kujua,kupoteza kumbukumbu,macho kupoteza nguvu ya kuona,maumivu makali mabegani,moyo kwenda mbio,mwili kupoteza nguvu na kudondoka.

MADHARA MAKUBWA YANAYOWAKUTA WAATHIRIKA WA TATIZO HILI:-
Madhara makubwa ya tatizo hili ni kama vile;mtu kuhisi hajakubwa akitembea mpaka kufika chooni anajikuta tayari kashajisaidia,haja ndogo/mkojo kutoka bila kujua,kushindwa kuvaa viatu vya kudumbukiza,kupooza kwa viungo vya mwili kama vile;kupooza upande mmoja wa mwili mguu na mkono ama mdomo kwenda upande,kupooza vidole vya mguu na mkono,kufariki na kutokwa damu puani,kufariki na kutokwa na kinyesi kingi sana na kukakamaa kwa viungo vyote vya mwili.

TIBA YAKE KABLA YA KUFARIKI:
Tunadawa itwayo  “MTUNULA” Dawa hii kazi yake kubwa ni kusafisha viungo vya mwili vile vilivyoathirika kama vile;kusafisha kibofu cha mkojo kulingana na ukubwa  wa tatizo,kusafisha mifupa katikati ya maungio,kusafisha mishipa ya fahamu,mikono,moyo,mapafu,ini,kongosho,fuvu la kichwa/mishipa ya fahamu kwenye kichwa,taulo la mfuko wa chakula,utumbo mkubwa  ili kupata njia rahisi ya kujisaidia haja kubwa,utumbo mdogo,figo,kiwanda cha mbegu kwa wanaume,kusafisha  kizazi(mirija na mfuko wa uzazi) kusafisha damu ili iweze kuwa na povu la kumsaidia mtu ili aweze kuwa na msisimko kwenye tendo la ndoa.

HITIMISHO:
Watu wengi wanaotumia dawa za kemikali huzidisha tatizo na kupelekea umauti badala ya kupona.Ukimuona mtu anabishana na tatizo maana yake anakaribisha umauti,USIKUBALI hii ndiyo sehemu yako ya pekee ya kupata matibabu bora kwa muda mfupi.

No comments:

Post a Comment