Ukizungumzia vifo vya kushitukiza unazungumzia
tatizo la presha ya kupanda na kushuka .Presha ya kupanda na kushuka ni tatizo
linalokuwa katika mishipa ya fahamu ya binadamu yaani maana yake tunazungumzia
kuvuta hewaa na kupumua.
Tatizo hili hutokana na wingi wa mafuta mwilini
ambayo huathiri baadhi ya mishipa mbalimbali kama vile;matundu ya
moyo,mapafu,tundu za figo,utumbo mkubwa na utumbo mdogo,katikati ya kichwa na
moyo,kibofu cha mkojo,miguu,mikono,viungo vyote hivi vya mwili mishipa yake
huziba kwenye matundu
Katika tiba za asili hili tatizo tunaliita “UZUNGU UMEZIDI
KIWANGO” tatizo hili linapotokea kuwa kubwa mtu huathirika kwenye viungo vyake vyote vya mwili hali
inayopelekea kuziba kwa mishipa ya
fahamu,tatizo hili linakuwa na matabaka makuu mawili:-
ULAJI WA VYAKULA VYENYE MAFUTA MENGI:
Ulaji huu wa vyakula vyenye mafuta mengi hujumuisha
vyakula kama vile;nyama ya nguruwe,mayai
ya kuku wa kizungu,chips mayai
kuku,pizza,chapati na vyakula vyenye
mlundikano wa mafuta,vyakula hivi mtu
anapovitumia hupelekea mtu kupata tatizo la presha inayoweza kupelekea
vifo vya kushitukiza kwa watumiaji.
DALILI ZAKE NI ZIPI?:-
Dalili zake ni pamoja na ;kuugua magonja mbalimbali
kama vilie:-tumbo kujaa gesi,kuwa na uzito kupita kiasi,kuhisi joto sehemu ya
baridi kali,kizunguzungu kisichoisha,kuwa na hasira za mara kwa mara,homa za
mara kwa mara,kukosa hamu ya kula,kupata ganzi kwenye viungo vya mwili,miguu
kuwaka moto,kukosa hamu ya tendo la ndoa,vichomi mwilini,kukosa
usingizi,kutokwa na haja ndogo bila kujua,kupoteza kumbukumbu,macho kupoteza
nguvu ya kuona,maumivu makali mabegani,moyo kwenda mbio,mwili kupoteza nguvu na
kudondoka.
MADHARA MAKUBWA YANAYOWAKUTA WAATHIRIKA
WA TATIZO HILI:-
Madhara makubwa ya tatizo hili ni kama vile;mtu
kuhisi hajakubwa akitembea mpaka kufika chooni anajikuta tayari kashajisaidia,haja
ndogo/mkojo kutoka bila kujua,kushindwa kuvaa viatu vya kudumbukiza,kupooza kwa
viungo vya mwili kama vile;kupooza upande mmoja wa mwili mguu na mkono ama
mdomo kwenda upande,kupooza vidole vya mguu na mkono,kufariki na kutokwa damu
puani,kufariki na kutokwa na kinyesi kingi sana na kukakamaa kwa viungo vyote
vya mwili.
TIBA YAKE KABLA YA KUFARIKI:
Tunadawa itwayo
“MTUNULA” Dawa hii kazi yake kubwa ni kusafisha viungo vya mwili vile
vilivyoathirika kama vile;kusafisha kibofu cha mkojo kulingana na ukubwa wa tatizo,kusafisha mifupa katikati ya
maungio,kusafisha mishipa ya fahamu,mikono,moyo,mapafu,ini,kongosho,fuvu la
kichwa/mishipa ya fahamu kwenye kichwa,taulo la mfuko wa chakula,utumbo mkubwa ili kupata njia rahisi ya kujisaidia haja
kubwa,utumbo mdogo,figo,kiwanda cha mbegu kwa wanaume,kusafisha kizazi(mirija na mfuko wa uzazi) kusafisha
damu ili iweze kuwa na povu la kumsaidia mtu ili aweze kuwa na msisimko kwenye
tendo la ndoa.
HITIMISHO:
Watu wengi wanaotumia dawa za kemikali huzidisha
tatizo na kupelekea umauti badala ya kupona.Ukimuona mtu anabishana na tatizo
maana yake anakaribisha umauti,USIKUBALI hii ndiyo sehemu yako ya pekee ya
kupata matibabu bora kwa muda mfupi.